Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiandaa kaka, ni vizuri kujua nitasoma nini ili kujipanga kisaikolojia, kifedha na kimwili😂😂Hulazi Damu mkuu, ngoja waje kukupa muongozo wenye uelewe na hicho kitu
Asante kaka, nashukuru Kwa muongozoKaka nenda kasome hiyo ni nzuri sana itakusaidia sana hiyo pale udsm wanatoa hiyo kozi itakufaa sana
Sawa mkuu kila la kheri.Najiandaa kaka, ni vizuri kujua nitasoma nini ili kujipanga kisaikolojia, kifedha na kimwili[emoji23][emoji23]
Si rahisi kupata hizo taarifa tu, kwenye prospectus utapata structure tu ya course husikaHizo details unazotaka umezikosa kwenye website za vyuo husika?