M maleka Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 143 Reaction score 33 Oct 24, 2013 #1 Habari wana jamvi,, naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu hili,, mm nimemaliza Bachelor ya Computer science na nahitaji kufanya master ya Bussines Administration,, nni kinahitajika au naweza kujiunga direct,,,, thanks.
Habari wana jamvi,, naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu hili,, mm nimemaliza Bachelor ya Computer science na nahitaji kufanya master ya Bussines Administration,, nni kinahitajika au naweza kujiunga direct,,,, thanks.