Nawasalimu Umofya kwenu? Ninapenda kujiunga na kozi tajwa hapo juu evening class kwa hiyo nahitaji kujua yafuatayo.
1) masomo yanaanza na kuisha muda gani
2) ni siku ngapi ndani ya week kuna vipindi na ni zipi hazina.
3) walimu wako flexible kuaccomodate matakwa ya mwanafunzi mmoja mmoja.
4) ugumu wake uko ktk maeneo gani.
Nitahitaji pia aliyesoma au anaesoma hiyo maneno anipm. Thanks guys.