Kwa mtazamo wangu, kwa hapa nchini kwetu ukiajiriwa basi ni kufundisha vyuoni (lecturing). Viwandani bado sana, labda kwa nchi zilizoendelea kiviwanda nk. Hata hivyo, usiisome kwa malengo ya kutaka kuajiriwa, jaribu kuwa na
wazo la kujiajiri kwa elimu hiyo (ujuzi) utakayoipata! Ni kozi nzuri kimataifa-internationally kwa jinsi dunia inavyobadilika ki-biotechnolojia.