Master of Food Science and Industrial Bio-technology

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Jamani I'm planning one day kama Mungu atanisaidia nikasomee hiyo master vp kitaa inalipa katika upande wa ajira ndugu zanguni wana jf.
 
Inalipa,njoo nikuajiri ukishamaliza!!!!!
 
Kwa mtazamo wangu, kwa hapa nchini kwetu ukiajiriwa basi ni kufundisha vyuoni (lecturing). Viwandani bado sana, labda kwa nchi zilizoendelea kiviwanda nk. Hata hivyo, usiisome kwa malengo ya kutaka kuajiriwa, jaribu kuwa na
wazo la kujiajiri kwa elimu hiyo (ujuzi) utakayoipata! Ni kozi nzuri kimataifa-internationally kwa jinsi dunia inavyobadilika ki-biotechnolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…