Master project writing

DanTE255

Member
Joined
Jun 13, 2020
Posts
13
Reaction score
12
Hellow wana Jamii samahani naomba kujua jambo

1. Hivi kuna utofauti gani kati ya Project na Research?
2. Je, project nayo inahitaji project proposal kama research?
3. Na vipi kuhusu kudefend project nayo inahusisha hili jambo?

Msaada kwa wale wenye kujua maana nimeapply master degree chuo flan nimeona kwenye brochure yao kua nitatakiwa kufanya project na sio research kama ambavyo tumezoea kuona watu wa masters wanafanya
 
Siyo master ni masters
project= andiko la mradi mfano unataka kufanya mradi wa child protection katika eneo fulani au tatizo lolote lile sasa huna funds na kuna fund mahali labda USAID hapa yakupasa uandike project bproposal ya namna utakavyotekeleza mradi husika ukianza na problem statment, methodologies na outputs plus buget na time line kutaja vichache
Research proposal hii ni kwa ajili ya utafiti na yenyewe unaandika utakavyokusudia kuandika/kufanya utafiti wako huwa na chapter 3
kudefend proposal hili maranyingi linahusu research za kitaaluma (masters/PhD) Huwa inafanyika baada ya kupitishwa kwa proposal na wanaokusimamia.. watapewa proposal yako wasimamizi (discasants) wachache wakalisome kabla ya wewe kuitwa mbele ya jopo na kwenda kutetea ulichoandika. hawa waliopewa wachache huongoza mjadala na wewe utaaandaa slides chache kutoka kwenye proposal yako utai display na utaulizwa maswali toka hapo. madscusants ndio huwa wanaliongoza jopo na kutoa comments
Note proposal lazima uown yaan ujue unachokusudia kufanya
mimi huwa naandika hizi mambo zote hapo juu kurahisisha maisha. KAMA UNA SHIDA NA UNAHITAJI MSAADA WANGU NJOO INBOX TUYAJENGE MKUU
 
Hii inategemea upo field ip, mfano mtu wa Technical mfano IT, Eng nk anatakiwa afanye project, but ukiwa fields zingine research inahitajika, but sio field zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…