Naombeni ushauri wadau !
Nina cheti cha juu cha taaluma ya Ununuzi na Ugavi, yaani (CPSP), pia nina Stashahada ya Uzamili ya Ununuzi na Ugavi yaani PGDPLM. Nahitaji kufanya masters degree, tatizo sipo tayari kufanya masters ya kitu hicho hicho mwanzo mwisho. Lakini pia mimi ni mtumishi wa Serikali hivyo nikifanya masters ambayo itakuwa tofauti na mambo ya Ununuzi na Ugavi siwezi kupata consideration ya aina yoyote hasa promotion na salary increment. Nimeopt kufanya MBA general. Naombeni ushauri wenu great thinkers.Saluti kwenu.

Thanx for advice wadau.Hujataja first degree ulisoma nini ? all in all achana na MBA Nakushauri usome Masters Of Enterprinuership