Heshima waungwana!
Tafadhari nlikuwa naitaji kufahamu gharama za master degrees course(MBA) inayotolewa na open university of TAnzania, muda wa course na competence ya course yenyewe kama mtu anayegraduate hiyo course anakuwa katika sehemu moja kiuwezo na yule ambaye amesoma mzumbe na vyo vingine na vile wote wanavyochukuliwa kwenye soko la ajira .
Asante.