joahjohar Member Joined Oct 19, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Dec 26, 2014 #1 Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa kokote coz GPA yake ni pass. Mawazo yenu jamani
Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa kokote coz GPA yake ni pass. Mawazo yenu jamani
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Dec 26, 2014 #2 pass masters anapiga tu
kakakuonana JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 338 Reaction score 61 Dec 26, 2014 #3 Pass ipoje
Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 404 Dec 26, 2014 #4 GPA ya 2.7 vyuo vingi vinaanzia hapo