Hiyo kozi pale COET ni gelesha tu babake, inatolewa na ki organisation kimoja kipo sinza (INFORMAC) na haitambuliki.Usije ukaingia chaka na mwendo wako wa kujimwaga. Cha kushangaza Prof. Mkandala na wenzake wamekuwa kichwa ngumuuuu na wameendelea kubariki maupuuzi yanayoendelea chuoni. Atakuwa anakatiwa fungu.
Sifa kwake ni kufukuza wanafunzi wakigoma, kumbe chanzo ni yeye..MADARAKA YATAISHA!!..KUMBUKA.
Jamani u Prof. kwa sasa ni Siasa hakuna kitu...heshima inashuka.