unataka kusoma nchi gani? kitu ni simple sana mkuu tafuta kwenye net tafuta vyuo katika nchi inayohusika ambayo unataka kwenda kila chuo kina utaratibu wake. kwa mfano uk, usa, canada na australia details ziko wazi kabisa so wala usijichoshe mkuu
anza kwanzakusoma hiyo first degree,maana ni miaka mitatu ,then ukiwa mwaka wa tatu ndo kuuliza hili swali!miaka mitatu mingi sana,huwezi jua,unawea ukawa na wazo tofauti na hili la sasa!