kiongozi umeweza kuingia jf.. umeshindwa kuingia website ya chuo.. vyuo vingi kwa MA studies application zilicheza hadi mwisho mwa mwezi wa tano.. tena kwa sasa kuna baadhi ya vyuo wameshatoa list of those successfull candidates... (UDOM kwa mfano)..