Wakuu naomba msaada wenu wa mawazo kwa hili, Mtu mwenye Bachelor ya education BAED anaweza kusomea hiyo kozi ( tajwa hapo juu) na ikaja kuwa na maslahi baadae kwake?
Nakushauri utemebelee website ya chuo kinachotoa kozi hiyo bila shaka watakuwa wameweka vigezo. Ama kama kuna mtu anajua zaidi anaweza kukuelekeza
Aksante
Nakushauri utemebelee website ya chuo kinachotoa kozi hiyo bila shaka watakuwa wameweka vigezo. Ama kama kuna mtu anajua zaidi anaweza kukuelekeza
Aksante
Asante, nimetembelea nimeona na uwezo wa kupata nafasi ya kusomea upo., swal langu kubwa ni je hiyo kozi na BAED vinaleta muungano mzuri?
Mfano mtu wa BAED akachukue Masters ya LAW ni kitu ambacho hakiendani.