Masters program

Joined
Jan 5, 2021
Posts
21
Reaction score
13
Habari members!
Naombeni muongozo ni masters ipi naweza kusoma undergraduate nimemaliza B.sc in civil engineering.
N.B: mimi ni muajiriwa serikalini.

Options nilizofikiria
1. Kufanya distance learning ambapo option ni OUT au UDSM
-Kwa OUT kozi ni MBA au Masters ya Project management. Au nimekosa sn nifanye ya MA natural resources assessment and mgt
-Kwa UDSM nifanye postgraduate ya Engineering management

2. Fulltime.
Hapa niombe ruhusa nifanye masters ambazo naweza kuspecialize kutokana na first degree.

NAOMBA MICHANGO YENU WADAU.
IDEA YOYOTE MPYA NAPOKEA MAANA AYO NI MAWAZO YA MWANZO NA PIA CHANGES NAPOKEA
 
Kasome master's of engineering management na uspecialise kwenye project planning and management.
 
Elimu ndogo tu uliyonayo una piga matarumbeta nchi nzima
 
MBA kila mtu anayo mtaani siku hizi.nakushauri jikite kwenye specialisation za sayansi huko.
 
MBA kila mtu anayo mtaani siku hizi.nakushauri jikite kwenye specialisation za sayansi huko.
Ni vyema ungetoa ushauri bora kwa mleta uzi mana kila mtu kuwa na mba sio kigezo cha yeye kuisoma ama kutoisoma..kila mtu na malengo yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwan unavijua vigezo vya kusajiliwa kuwa professional engineer??
Vigezo vipo viwili tuu
1. Kuomba kufanya SEAP 3 years zen ripoti zako zihakikiwe mwisho usajiliwe
2. Unstructured: Hii kwa mtu alieajiliwa anaweza kuandika ripoti mradi mmoja zen ikipitishwa unakuwa registered.
N.B: vyote hpo juu ili ufanikishe lzm uwe GE kwanza
 
Sio kweli, rudi kusoma tena mwongozo wa ERB.
 
Unaweza kuongezea kweny mapungufu yalipo. Mi nimejibu kwa incase mtu anaetaka kuwa P.E
Ongezea unachokifahamu zaidi
 
Nijuavyo mie unapofanya Master Degree unaenda kwenye specialization katika area yani Nimefanya Degree ya Ualimu nikafanya kazi kama mwalimu kwa muda flani kisha nikawa administrator kwa muda then nikaona kwenye administration ndiko nilikoexcel kwa hiyo naenda kufanya Master ya Education nikijikita kwenye Administration. Kwa case yako je wewe kwa kipindi chako cha ajira umeexcel area ipi? Na je unajiona wapi miaka m5 kuanzia leo? Bado mwajiriwa au mtu aliejiajiri na km muajiriwa basi ni Head wa Section au Common Soldier? Na kama umejiajiri utajikita wapi? Then fanya maamuzi
 
Asante kwa mchanganuo mzuri sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…