Watanzaniua wenzangu changamkieni Scholarship hii paale Edinburgh University, chuo hiki kimetupa heshima kubwa Watanzania kutokana na mchango wa Mwl. Nyerere Africa na dunia nzima fuata link hii The Julius Nyerere Master's Scholarships | Awards by region |
kila nafac za scholarships nisomapo huwa wanapendelea kutoa nafasi kwa watu wenye first class na upper second class.so mliopo mavyuoni pigeni gpa za juu ili mfaidi hizi nafasi adimu