Masters study!

Joined
Dec 12, 2012
Posts
69
Reaction score
14
Jamani wana JF kwa anaye fahamu kuhusu hili anieleweshe:Hivi kuna madhala yapi kama umepata usaijili wa kusoma Post Graduate kwa chuo ambacho kilizuiliwa kutoa Masters na TCU kwa sababu ya kutotimia vigezo vya kuwa na walimu wa kutosha wa kufundisha POST GRADUATE lakini wao wanaendelea kudahili. Tadhali kwa anaye fahamu kwa kina nin madhala yake kama uta graduate hapo?
 
Kwanini uliomba...hukulijua hilo.??
 
Kwanini uliomba...hukulijua hilo.??

Acha uswahili, elewa swali kama hujui kaa kimya kwani sikuhitaji coments bali nilihitaji anaye jua ndio anieleze.Acha kimbelembele utabakwa............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…