Habari zenu wana Jamii forum. naomba kuuliza kama ili linawezekana maana liko nje ya uzoefu wangu..
Nimepata scholatrship ya kusoma Japan (masters degree by research). sasa baada ya kuaply kwenye chuo nimepata admission letter, admission letter inasema nimekuwa admitted for a Doctoral course. So ikabidi nimuulize Prof atakayenisupervise, Prof akasema inaonekana nimekuwa admitted for PhD, so itabidi niende moja kwa moja kwenye maabara (laboratory) yake nifanye PhD. sijawai kuona mtu anafanya ivo, wasi wasi wangu ni kuwa inawezekana? isije kuwa unafanya ivo afu mwisho wa siku unarudi Bongo unaambiwa ah ile ni training tu bana. naomba ushauri wenu wakuu kabla sijafanya undertaking yoyote...ni Doctoral course in biomedical sciences.
natanguliza shukrani kwenu wakuu.