Masters vs PhD Scholarship

Cas9

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
65
Reaction score
17
Habari zenu wana Jamii forum. naomba kuuliza kama ili linawezekana maana liko nje ya uzoefu wangu..

Nimepata scholatrship ya kusoma Japan (masters degree by research). sasa baada ya kuaply kwenye chuo nimepata admission letter, admission letter inasema nimekuwa admitted for a Doctoral course. So ikabidi nimuulize Prof atakayenisupervise, Prof akasema inaonekana nimekuwa admitted for PhD, so itabidi niende moja kwa moja kwenye maabara (laboratory) yake nifanye PhD. sijawai kuona mtu anafanya ivo, wasi wasi wangu ni kuwa inawezekana? isije kuwa unafanya ivo afu mwisho wa siku unarudi Bongo unaambiwa ah ile ni training tu bana. naomba ushauri wenu wakuu kabla sijafanya undertaking yoyote...ni Doctoral course in biomedical sciences.

natanguliza shukrani kwenu wakuu.
 
Kama umesoma Udaktari ni sawa iko hivyo ila kama hujasoma udaktari sina uhakika.....
 
Professor Mark Mwandosya alisoma PHD bila kusoma Msc. Inawezekana mkuu
 
Angalia na category ya chuo link na TCU.vinginevyo ukirudi utasumbuliwa sana.
 
Mkuu inawezekana. Kazana!! Mimi nina BS ya EE nataka kupiga neuroscience (computational) na i hope nitaenda phd moja kwa moja. Bila msc
 
Shukrani sana wakuu!! mmenijaza uelewa vizuri,,,thanks alot..
 
Mkuu inawezekana. Kazana!! Mimi nina BS ya EE nataka kupiga neuroscience (computational) na i hope nitaenda phd moja kwa moja. Bila msc

Mkuu labda kwa kuwa una plan izo unaweza ukaelewa zaidi, kuna utaratbu wowote unafuatwa? ama uwa ni maamuzi ya mtu tu.
 
Kwa Japani wna kitu hicho. Ila utakaa huko mpaka upara ukutoke. Utaanza research miaka 2 ya masters na baadaye miaka 3-4 ya PhD. Ndivyo wananvyofanya.
 
Kwa Japani wna kitu hicho. Ila utakaa huko mpaka upara ukutoke. Utaanza research miaka 2 ya masters na baadaye miaka 3-4 ya PhD. Ndivyo wananvyofanya.
Mkuu labda haujanielewa,,nimesema nimekuwa admitted for a Doctoral course,,meaning naingia direct kufanya PhD, so ntaskip masters, ndo maana nikauliza inawezekana? otherwise upara sio shida maana kwa sasa ninao tiyari.
 
Mkuu labda kwa kuwa una plan izo unaweza ukaelewa zaidi, kuna utaratbu wowote unafuatwa? ama uwa ni maamuzi ya mtu tu.

Kupiga phd inategemea sana kama una experience na research au lab hours on your belt. Maana phd sio kukaa darasani.
Pili, kujua kipi kinafuata itakuwa ni sawa na kubunia tu.
Course kama neuroscience ni lnter disciplinary course lakn. Angalia kama una research experience kwanza ili uende phd, good gpa ay least 3.8.
Kama huna experince na gpa ndogo unaweza kufanya master ya kitu unayotaka kufanya ili upate kurelate na phd kama itakuwepo kwenye hip fani.
Kwangu navyokuona piga master kwanza then phd.
 
Mkuu,

Nashukru kwamba umejiandaa. Ila kama alivyosema Aminiusiamini apo chini. No one trusts African Educational Systems. Miak mwili lazima uende intensive research training (sawa na Masters) ndo unaanza PhD a wakati mwingine inatengmea na recommendation ya Prof. wako.

All the best. 2010, nilifanya nao interview nikashindwa mwishoni.
Mkuu labda haujanielewa,,nimesema nimekuwa admitted for a Doctoral course,,meaning naingia direct kufanya PhD, so ntaskip masters, ndo maana nikauliza inawezekana? otherwise upara sio shida maana kwa sasa ninao tiyari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…