Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa utaraibu wa kuomba nje (kuapply) vilevile mambo ya kuzingatia ili nisafiri kufika bodaa...sasa ninaomba kama kuna yeyote ambae anajua chuo kinahusika na maswala ya mipango mji kipo nje naomba unambie jina la hicho au hivyo vyuo na muda wa masomo yake yanaanza lini nahitaji iwe east africA,west africa,south africa au ulaya karibuni wanajf kwa mawazo yenuuuu...[emoji120]
Natanguliza shukrani za dhatiiii