Masters ya Project Planning Management

Masters ya Project Planning Management

All 4 One

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
13
Reaction score
4
Naomba msaada wewe, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa masters ya Project Planning Management?
 
Chuo cha mipango dodoma,na ulizia mzumbe vilevile kama sikosei
 
Karibu Mipango Mkuu, ila hapa unakuja kusomea Master, sio "kuchukua", chuo kigumu kinoma.
 
Mzumbe wakishirikiana na Bradford(UK)
ni expensive ukilinganisha masters za Mzumbe
baadhi ya lecturers na some coordination zinafanyika moja kwa moja toka Bradford-UK
 
Back
Top Bottom