Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Wadau nauliza kati ya hizo mbili ni ipi ina uwanja mpana zaidi wa fursa? Au kama kuna nyingine bora zaidi ya Social science nayo pia unaweza kutushirikisha
Karibuni
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahHadi leo nina miaka 35 sijawai kujua social work ni nini
Bachelor umesoma nini?Wadau nauliza kati ya hizo mbili ni ipi ina uwanja mpana zaidi wa fursa? Au kama kuna nyingine bora zaidi ya Social science nayo pia unaweza kutushirikisha
Karibuni
Ustawi wa jamiiHadi leo nina miaka 35 sijawai kujua social work ni nini
Alisoma EducationBachelor umesoma nini?
Anawasubiri Liverpool akate umemeKwani N'golo Kante ye anasemaje....!
Ustawi wa jamii
Alisoma au ulisoma education? Kwanini unamsingizia mwenzako?Alisoma Education
Kwani ingekuwa mimi kungekuwa kuna tatizo gani mkuu.Alisoma au ulisoma education? Kwanini unamsingizia mwenzako?
Kama Ni Mwalimu, soma Bachelor of Education in Administration and management.Wadau nauliza kati ya hizo mbili ni ipi ina uwanja mpana zaidi wa fursa? Au kama kuna nyingine bora zaidi ya Social science nayo pia unaweza kutushirikisha
Karibuni
Bachelor ya pili tena.Kama Ni Mwalimu, soma Bachelor of Education in Administration and management.
Maendeleo ya jamiiNa community development jee??
Or these two phrasea are used interchangeably
Ahsante kwa ushauri mkuu. Kwa nini ni bora kuliko nyingine?kagonge MPA