Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Mar 6, 2022 #1 Nimeona Masters hii inatolewa MUHAS na Mlimani. Hapo mlimani nimeona wanaruhusu mpaka watu waliochukua course za arts undergraduate. Swali langu ni je inauhusu nini na fursa zake zikoje hapa kwetu nchini
Nimeona Masters hii inatolewa MUHAS na Mlimani. Hapo mlimani nimeona wanaruhusu mpaka watu waliochukua course za arts undergraduate. Swali langu ni je inauhusu nini na fursa zake zikoje hapa kwetu nchini
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,666 Reaction score 847 Apr 12, 2022 #2 Usiende kabisa mlimani kusoma Public Health. Ni majanga tu Nenda Muhimbili utanishukuru
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Apr 12, 2022 #3 tashwishwi said: Nimeona Masters hii inatolewa MUHAS na Mlimani. Hapo mlimani nimeona wanaruhusu mpaka watu waliochukua course za arts undergraduate. Swali langu ni je inauhusu nini na fursa zake zikoje hapa kwetu nchini Click to expand... Inahusiana na masuala ya health promotion,prevention of diseases na protection of the public health. Hii ni kozi ambayo mtu yoyote naweza somea..ila mtu mwenye background ya afya ndio itakua na tija zaidi kwake. Nenda muhas kasome au vyuo vya afya. #MaendeleoHayanaChama
tashwishwi said: Nimeona Masters hii inatolewa MUHAS na Mlimani. Hapo mlimani nimeona wanaruhusu mpaka watu waliochukua course za arts undergraduate. Swali langu ni je inauhusu nini na fursa zake zikoje hapa kwetu nchini Click to expand... Inahusiana na masuala ya health promotion,prevention of diseases na protection of the public health. Hii ni kozi ambayo mtu yoyote naweza somea..ila mtu mwenye background ya afya ndio itakua na tija zaidi kwake. Nenda muhas kasome au vyuo vya afya. #MaendeleoHayanaChama