Masters ya Public health

Masters ya Public health

hydrocarbon

Senior Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
154
Reaction score
50
Msaada wana Jamii kwa anae jua soko LA ajira kwa mtu mwenye masters ya Public health ikoje??
 
Msaada wana Jamii kwa anae jua soko LA ajira kwa mtu mwenye masters ya Public health ikoje??

Nenda Pale AAR Mikocheni Mtafute Dada Mmoja Hivi Anaitwa Dkt. G Qorro Atakusaidia Mno Kwa Kukupa Ushauri Na Fursa Zaidi Ya Mtu Mwenye Hiyo Masters Ya Public Health And She's Very Co operative ILA Tu Usimtongoze Tafadhali Kwani Utaniudhi.
 
Waweza kuwa lecture kwenye vyuo vya afya kufundisha HEALTH PSYCHOLOGY, MEDICAL SOCIOLOGY, BEHAVIOUR SCIENCE
 
Back
Top Bottom