hydrocarbon Senior Member Joined Aug 8, 2014 Posts 154 Reaction score 50 May 10, 2015 #1 Msaada wana Jamii kwa anae jua soko LA ajira kwa mtu mwenye masters ya Public health ikoje??
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 10, 2015 #2 hydrocarbon said: Msaada wana Jamii kwa anae jua soko LA ajira kwa mtu mwenye masters ya Public health ikoje?? Click to expand... Nenda Pale AAR Mikocheni Mtafute Dada Mmoja Hivi Anaitwa Dkt. G Qorro Atakusaidia Mno Kwa Kukupa Ushauri Na Fursa Zaidi Ya Mtu Mwenye Hiyo Masters Ya Public Health And She's Very Co operative ILA Tu Usimtongoze Tafadhali Kwani Utaniudhi.
hydrocarbon said: Msaada wana Jamii kwa anae jua soko LA ajira kwa mtu mwenye masters ya Public health ikoje?? Click to expand... Nenda Pale AAR Mikocheni Mtafute Dada Mmoja Hivi Anaitwa Dkt. G Qorro Atakusaidia Mno Kwa Kukupa Ushauri Na Fursa Zaidi Ya Mtu Mwenye Hiyo Masters Ya Public Health And She's Very Co operative ILA Tu Usimtongoze Tafadhali Kwani Utaniudhi.
hydrocarbon Senior Member Joined Aug 8, 2014 Posts 154 Reaction score 50 May 10, 2015 Thread starter #3 Asante GENTAMYCINE..but nipo mbali aisee mkoanii
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,944 Reaction score 2,283 May 11, 2015 #4 Waweza kuwa lecture kwenye vyuo vya afya kufundisha HEALTH PSYCHOLOGY, MEDICAL SOCIOLOGY, BEHAVIOUR SCIENCE
Waweza kuwa lecture kwenye vyuo vya afya kufundisha HEALTH PSYCHOLOGY, MEDICAL SOCIOLOGY, BEHAVIOUR SCIENCE