Master's ya strategic governance

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
769
Reaction score
1,069
Habari wakuu,, samahani naomba kujua gharama za kusoma! kusoma Masters ya strategic governance katika chuo cha diplomasia maana nimeangalia kwenye prospectus ya chuo hawajaweka tuition fees structure..

Lakini pia nilikuwa napenda kuuliza Je wana evening session?

Na je academic year inaanza mwezi gani?

Naomba kuwasilisha kwenu ndugu zangu
 
Open University of Tanzania nadhani wana master kama hiyo ya Governance na wana flexibility ya kusoma jaribu kupitia Prospectus yao.
 
Ungechukua namba zao za simu nakuwauliza moja kwa moja.
 
Kama uko under 30 ukiimaluza utajoin ndc na baadae unaanza kuwa mshauri wa mgambo wa kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…