KINGSLEE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 830
- 1,046
Habari Wadau,
Katika pilika pilika za maisha hapa na pale nimeona Tangazo la chuo cha IAA linalosema wanatoa Masters kwa mwaka mmoja.
Naomba kuuliza wadau hii kitu imekaaje.
Je, Mamlaka husika? zimeruhusu baadhi ya vyuo kutoa Shahda ya Uzamili kwa mwaka mmoja wakati vingine vikitoa kwa miezi 18 (Miaka 2) hawaoni wataharibu/discourage watu kusoma vyuo vinavyotoa masters kwa miaka miwili.
Je, vyuo vipi vingine vinavyotoa masters kwa Mwaka mmoja kwa hapa Tanzania?