Medicine (MD ) ni miaka mitano Tanzania, wakati huo MBchB equivalent to MD ni miaka sita Kenya. Kuna vyuo India vinatoa kozi za udaktari kwa miaka 4 lakini wore at the end of time mnakutana Aga Khan hospital kama qualified doctors
TOfauti ya fellowship ya mtu aliesoma kutoka MMEd na Fellowship ya aliesoma kutoka members college of surgeon na kufaulu na kwenda fellowship tofauti yao ni ipi?