Masters

Masters

obert

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
42
Reaction score
3
Habari wanajamvi,nataka kusoma masters OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA naomba anayejua cost zao na course zinazopatikana OUT
 
Nenda open ukapate ukweli wa kila jambo ili uchanganue mwenyewe kwa uwakika zaidi maana open ipo kila pembe ya Tanzania.
 
Siwazagi hayo mambo miye,nimemaliza 2012 degree yangu ya kwanza
 
Heeh! Kumbe Open Univ. ni cha wanasiasa; na wakosa vigezo?!

alokwambia nani? Ukiwa na mentality hiyo utapata tabu sana siku zote unapotaka kufanya kitu cha maendeleo akili ku mkichwa ukitaka kufuata ushauri wa watu na maneno yao ull stuck mwisho wa siku wewe ndo mwamuzi
 
Back
Top Bottom