Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Amekata taamaa kachoka, haoni matumaini ya kupata mfu amzike, zaidi mwenyewe anahisi kuumwa na kufa kabisa 🤣🤣🤣 amejichimbia kaburi mwenyeweHuyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon...
Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) azike.
kumbafu sana gentleman,Hapana ni Tlaatlaah ila kwenye uchimbaji walikua pamoja na Lucas Mwashambwa nadhani hapo pichani hayupo kaenda kuchukua ulanzi wachambe koo wakiendelea kusubiri.
Sema na yeye(CCM) pia kachoka tayari, au ndio kusema ana umri mkubwa.Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon...
Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) azike.
Lete maana yake sio kuleta argument kama mtoto wa kikeUnataka kubisha au kujadil!
Soma pale juu we **** nimeshaweka.Lete maana yake sio kuleta argument kama mtoto wa kike
Anaweza akawa Yohana Mbatizaji! Huoni jamaa ana Msalaba kabisa! Ahahahahaha!!Huyo kwenye hiyo katuni sio Lucas Mwashambwa kweli?
Wasiyemtamka atakuja tu. Kauli ya Mzee Mtei inatoa uelekeo sahihi.Jamaa haoni mtu wa kumzika japo yeye mwenyewe yupo ukingoni mwa kaburi lakini hayupo wa kumzika.
DuuuuSoma pale juu we **** nimeshaweka.
Huyo jamaa(çcm) amechimba kaburi kwasababu ana uhakika kuna mtu(Chadema )anakufa soon...
Hivyo yuko hapo kusubiri huyo mtu akate roho jamaa (CCM) vinavyoonekana ni labda mpasuko ndani ya chadema na kufa kabisa kwa chama icho
Kasemaje mkuu muasisi wa chademaWasiyemtamka atakuja tu. Kauli ya Mzee Mtei inatoa uelekeo sahihi.