Masudi kipanya hatarini na ajira yake clouds

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/?
redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti ushoga wakakataa kuomba radhi,TCRA wakaufyata juzi eti kipindi kinafungiwa miezi kwa kumuhoji Gigy money aliyekuwa anaelezea jinsi anavyoliwa kiboksi manyoya.

Hapo sasa Mr kipanya hujui tu kwamba mabosi wako juu ya sheria? magic fm na radio 5 walifungiwa kwa kosa la mdomo wa mtu mmoja lakini hawa wanaopromote mashoga na tena wenye wafanyakazi mashoga kama wale waliotukanwa na wolper juzi kwamba mmoja wao alimtongoza harmonise akazwe kukataliwa akaanza kutukana.
Mr kipanya ,shauri zakoooooo
 
Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/?
redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti ushoga wakakataa kuomba radhi,TCRA wakaufyata juzi eti kipindi kinafungiwa miezi kwa kumuhoji Gigy money aliyekuwa anaelezea jinsi anavyoliwa kiboksi manyoya.
Hapo sasa mr kipanya hujui tu kwamba mabosi wako juu ya sheria? magic fm na radio 5 walifungiwa kwa kosa la mdomo wa mtu mmoja lakini hawa wanaopromote mashoga na tena wenye wafanyakazi mashoga kama wale waliotukanwa na wolper juzi kwamba mmoja wao alimtongoza harmonise akazwe kukataliwa akaanza kutukana.
Mr kipanya ,shauri zakoooooo

Aliyekuambia kuwa Masoud Kipanya ' akifukuzwa ' hapo Clouds Media Group atashindwa kuishi ni nani? IQ kubwa tu ya Masoud Kipanya tayari ni Mtaji wake tosha wa kujipatia maendeleo sasa Kazi kwenu mlio na Kipaji kimoja tu cha kukariri maisha ndiyo mnaopelekeshwa hovyo na mnabaki ' kunyenyekea ' tu kila kukicha.
 
Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/?
redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti ushoga wakakataa kuomba radhi,TCRA wakaufyata juzi eti kipindi kinafungiwa miezi kwa kumuhoji Gigy money aliyekuwa anaelezea jinsi anavyoliwa kiboksi manyoya.
Hapo sasa mr kipanya hujui tu kwamba mabosi wako juu ya sheria? magic fm na radio 5 walifungiwa kwa kosa la mdomo wa mtu mmoja lakini hawa wanaopromote mashoga na tena wenye wafanyakazi mashoga kama wale waliotukanwa na wolper juzi kwamba mmoja wao alimtongoza harmonise akazwe kukataliwa akaanza kutukana.
Mr kipanya ,shauri zakoooooo
Mbona hii habari imekaa kiubuyu sana na sio kama ni taarifa yenye mashiko? Nani aliwahi kukwambia Kipanya anategemea za Clouds kuishi? Duh,haya ngoja waje wenyewe
 
kama haujui kipanya anakazi nying mjini sasa katuni zake zinatumika kwenye gazet la mwananchi kama sijakoseaa baadae vikatun hivyo anaviweka kwenye akaunt zake
 
Back
Top Bottom