Forfofo
Senior Member
- Aug 22, 2024
- 161
- 359
Ukiwa mtu ambae umesafiri sana nje ya nchi,nchi tofauti tofauti utaungana namimi katika hili.
Bongo mtu kaandika namba ya huduma kwenye bango, hiyo namba ukiipiga imewekwa busy au haiko active kabisa. Km imewekwa busy basi upige zaidi ya mara moja,upige hata mara tatu ndo angalau utajibiwa kwa text. Message yenyewe zaidi itauliza "Nani" au "unashida gani".
Wabongo tujifunze Costomer Care/Service. Umeweka namba Kwenye logde,inamaana ikitafutwa mojakwamoja unajua ni mteja kwenye lodge lkn bado unauliza "Shida nini" sio kwa lugha ya uteja, maana ya kuweka hyo namba hapo ni nini? Tena ni unauliza km vile ni usumbufu flani ivi kutafutwa.
Usifungue huduma/biashara kwasababu tu una mtaji kuna vingi kwenye biashara zaidi ya mtaji.