Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
- Jake Paul aibuka mshindi..... Score ilivyokuwa baada ya pambano.
- Pambano limeishaaaaaa!
- Jake anarusha ngumi huku kama anamsubiria Mike hivi, ila Mike anaonekana kachoka, zimebaki sekubde 26
- Round ya MWISHO.
- Jake karisha punch mbili tatu mwishoni, round ya 7 imeisha. Wanafuta jasho mara ya mwisho, nani kuibuka mshindi?
- Round ya 7 imwanza, Tyson anaanza kuonesha matumaini, ila Jake kama anampa muda hivi Tyson ili amjibu.
- Round ya 6 imeisha, mapumziko
- Round ya 5, imeisha, wameanza round ya 6. Ngumi zinarishwa tu hewani kama wanazuga hivi wamalize muda
- Mpambano unaendelea sasa hivi, na sasa ni round ya 5.