Mkuu siunajua tena wamama ndio wanaopendanga promo,wababa wengi hawajarigi hayo makitu ya kurushwa hewani ndio maana unasikia shout out zote ni kwa kina bi mdashii vile wanazikubali sana.Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume. Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mamaRay anoekana kariokoo. Mara Mama kiba aja juu. Nk nk Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja babazao kama wanavyowataja mamazao.Kulikoni?.
hahahah....Kinababa hatuna muda na shobo za Kijinga...
hahahah....Kinababa hatuna muda na shobo za Kijinga...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume. Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mamaRay anoekana kariokoo. Mara Mama kiba aja juu. Nk nk Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja babazao kama wanavyowataja mamazao.Kulikoni?.
Wengi Wanakula kona kuwaacha wamama na vitotoMkuu siunajua tena wamama ndio wanaopendanga promo,wababa wengi hawajarigi hayo makitu ya kurushwa hewani ndio maana unasikia shout out zote ni kwa kina bi mdashii vile wanazikubali sana.