comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Wakati akiwa makamu mkuu wa chuo SAUT Fr. Kitima aliwalela na kuwaingiza kwenye ajira vijana aliowaamini ambao walikuja kutengeneza mchongo wa kuiba ada huku wakitoa risiti bandia za chuo. Mchongo huu ndio chanzo cha kesi iliyoamuliwa na mahakama ya rufaa na kuitalka SAUT ilipe fidia ya 30M pamoja na mambo mengine