Ndugu zangu, naomba usaidizi.
Kulikuwa na tetesi wakati fulani eti viongozi wa Tanzania walikuwa na nia ya kuanzisha mfumo wa kutumia kiingereza kama medium of instruction katika shule za msingi. Je? Mpango huu utaanza wakati gani?
Na kuna urahisi gani wa kuanzisha private school huko TZ? Najua kuna competition kali sana lakini ningependa kuskia kutoka kwa mtu ambaye amekua na maono ya kuanzisha shule, na kule alipoweza kufika.
Natanguliza shukrani