Maswali 11 yenye utata: BAKWATA ilianzishwa na nani?

Asante kwa somo! Mie nimekua karibu na kiongozi mmoja wa bakwata ninachokijua ni kuwa tis wanafanya kaz kwa ukaribu na bakwata ila kuna ile taasisi moja hiv nimeisahau jina ndiyo inamkono wa serikal na nakumbuka iliundwa kipindi kile makanisa yanachomwa moto ambapo ndan ya hiyo taasisi kuna viongozi wa dini zote ila inaratibiwa na serikali
 
Kumbe wewe ni mfuga ndevu/mkata suruali,leo ndio nimejua kwanini unaichukia Israel taifa Teule la Mungu
 
Kwa maswali yako ni wazi unajua unachokiuliza Sasa unataka kuona kama na wengine wanajua hicho unachokijua
 
Acheni kuliamsha jinamizi la udini, tena shikeni adabu kwa dude hilo. Ashukuriwe Mungu nchi haiongozwi kwa misingi ya dini fulani. Watu wana uhuru wa kuabudu imani waiaminiaye, kuchokonoa udini hauna tija kwa taifa la sasa
Ukristu una taasisi zake mbona hazijasababisha udini kimburu wew
 
Namba 5 jibu lake lipo namba 6
 
Sheikh ponda peke yake ana wafuasi wengi kuliko hilo baraza linalolazimisha wafuasi
 
Baada ya Umoja Wa Taasisi Za Kiislamu Afrika Mashariki Kuvunjika au kuvunjwa hapo ndipo Nyerere Alipata mwanya wa kuanzisha BAKWATA ili iwe chombo rahisi kwa serikali kuicontrol na waislamu wakataifishiwa mali zao zote ikiwamo viwanja, Shule na kadhalika, na umoja ule kupigwa marufuku hivo bakwata ni tawi la nyerere na waislamu wakakubali isipokua wachache kama sheikh ponda ndio wamebaki imara kuwapigania waislamu wenzao na kuilinda haki ya Uislamu
 
mbona iko wazi sana ! lengo lao lilikuwa kuweka udhibiti kwa waislam

Haiihitaji elimu kubwa kulifahamu hilo Mimi mkristo lakini ukiongea na waislamu Mijini na Vijijini kati ya kumi basi nane wanaipinga bakwata sasa taasisi gani inapingwa na wajumbe wake
 
Sheikh ponda peke yake ana wafuasi wengi kuliko hilo baraza linalolazimisha wafuasi

Tena waislamu nchi nzima waungane na sheikh ponda mtu wa haki, anashirikiana na wakristo kupigania haki na kupinga dhulma kwa watu wote yule ndio alifaa awaongoze waislamu mngefika mbali sana na mungeulinda Uilslamu wenu kuliko hawa bakwata
 
Kwenye questionnaire jitahidi kumpa mdodoswaji uhuru wa kujibu bila kuonesha tayari kuna majibu
Rejea swali namba 1&8
 
Nasikia shehe ponda au ni TISS au ni infomer
 
Acheni kuliamsha jinamizi la udini, tena shikeni adabu kwa dude hilo. Ashukuriwe Mungu nchi haiongozwi kwa misingi ya dini fulani. Watu wana uhuru wa kuabudu imani waiaminiaye, kuchokonoa udini hauna tija kwa taifa la sasa
Jinamizi limelala lisiamshwe au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…