Nahitaji msaada wa majibu ya maswali yafuatayo;
1.Je ni kweli kuwa siwezi kudraw zaidi ya mil 10 cash kwenye personal account?
2. Kuna kiwango ambacho nikidraw kwenye personal account nahitajika kutoa maelezo ya matumizi ya fedha hizo?
3. Kuna kiwango ambacho nikiingiziwa kwenye personal account nitatakiwa kutoa maelezo ya dhumuni la mhamala huo?
4. Kwa fedha zinazoingia kwenye personal account, huwa nachunguzwa kuhusu ulipaji kodi?
5. Kuwa na current account ni lazima niwe na biashara?
Karibuni kuchangia.