Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

Jadili na ukoo wako kwanza halafu tuletee mrejesho
 

Hapo ndio unaona umeweza kutuvuruga kwenye kile tunachaomini? Bado hizi propaganda za kizee mnaamini zinalipa zama hizi?
 
Mbowe ana biashara gani wakati mmeshafilisi biashara zake? Nyie watenda dhambi Mungu anawaona
 
These are not questions; they are just purported allegations
 
Baada ya kufanya upumbavu wa kumuumiza Mbogwe,sasa mnnakuja kuharisha humu
Shwaini wakubwa ninyi.
 
Yaani wewe umejiuliza maswali yako 'fikirishi' kwa mihemko ya kisiasa halafu unatutaka tusijadili kwa mihemko ya kisiasa?!
 
Isaack Maliyamungu or Isaack Lugonzo...Njama zako zina mwisho
 
Mkuu acha ujinga na kujitoa ufaham Mbona wamerekani na dunia haijafikiria George Floyd alikufa kwa sababu ya uchofu wa mapenzi au kakosa pumzi kwa sababu ya korona!!! Futa uchafu wako tujadili hoja hii.
1. Je, hii ni kumtisha Lisu asirudi Tz baada ya speech ya jana?
 
we Sasa ndo umeongea Kama mtu mwenye akili 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Wacha nijibu hoja ya Kwanza ya "wanao shambuliwa kuwa ni viongozi wa upimzani tu" tuwe fair tupige pande zote mangula hakushambuliwa kwa kuwekewa sumu ?

Na haikufamamika nu Nani aliye mwekea sumu mpaka Leo
 
La nyongeza


Ni kwa pande zote imekua hivi tunaweza kusema polisi wamekua dhaifu au uwezo mdogo kwa sababu hata sumu kwa mangula na kwa mwakyembe kote wahusika hawakupatikana (Kama walipatikana nipe taarifa )
 
Hold on! Hon. Mwigulu, please talk something. Jitenge na hili jambo. Ni wewe peke yako ndiye waziri pekee ambaye aliyeapishwa nje ya ikulu zinazotambulika rasmi kiitifaki. Tena bado tukikumbuka mambo yaaale ya uhaini wa Lwakatare.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1591700075805.jpg
    37.5 KB · Views: 13
Kamulize mkeo hayo mswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…