Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

His and their company's aim is to misguide the public on the issue. That is why they have quickly come up with so many threads today. They are covering up the blunder. It is a pity.
 
Umejitahidi kuchambua kipumbafu kwelikweli hata hamna haja kuongea neno.
 
Madhara ya kutoka nje ya ndoa kuchepuka huku ukirubuni wabunge wa viti malum na wake za watu ni makubwa.

Pole sana kamanda.
 
Cheap!
 
NAPE kutishiwa bunduki
 
Hamtaeleweka kama mlivyoshindwa kuwaelewa kwa matukio 17 ya utekaji mauaji vifungo utesaji nakadhalika ......
 
Wewe mshenzi ndio mmetumwa kutoka kijijini kwenu kufanya maovu na ushamba wenu tunawajua sana na ni suala la muda tuu.
 
Ugoro mtupu
 
Mawazo yako haya ya kishetani huenda yakatuletea matatizo makubwa huko mbeleni. kibaya ni kwamba ushetani wako una madhara hata kwa tusiohusika na ushetani huo.
 
Majirani zake Mbowe wanasema hawajasikia fujo zozote hawaelewi hilo tukio limetokea vitu.
 
Bdo kdogo tu mtatembea bla nguo
 
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
 
Mtoa post huna kitu kichwani
 
Ongeza na ya lijualikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…