Maswali fikirishi kuhusu shambulio la Mbowe

Haya ndio uliyoyaita maswali firikishi?
 
Mbona siioni CCM hapo kwenye hiyo orodha, unayo matatizo na CCM? na viongozi wake?
 
Nadhani Mara baada ya Hili shambulio ndo Mbowe akaamua Kuajiri Makomandoo baada ya kugundua walinzi alio Nao hawamsaidii na ni mamluki. Mbeleni kwenye Kaburi linguine nililofukua tunaona walinzi mamluki wakihamia CCM na kugombea udiwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…