Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

Mbona umebadilika sana (umekua)....? Like daaaamn, you wanted me to remain an infant forever....?.
Tanzania hii kunawatu wanamaswali ya kijinga sana na kizushi.

Sjui wanamatatizo ya Ubongo.

Mbona umebadilika sana..? sasa unajiuliza miaka labda mitano au kumi ham'japata kuonana,anataka ubaki vile-vile kama Jana...?
 
Baby hivi kwa mwezi unapokea kiasi gani,utasikia kakangu ana kazi kama yako yeye anachukua ***"** baby,nambie baaasi.
 
Back
Top Bottom