Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Huwa linanikera mno hilo neno...et niambie, kwa kweli huwa sijibuMtu anakupigia simu unaitikia hallow halafu anakwambia "Niambie" wakati yeye ndio kakupigia.
Unamwomba contact unachat nae via sms unamwonesha tips anaelewa baadae ukimpigia anauliza kwani ulikua na shida gani
(Nilikua natafuta wadada wa kazi za ndani)
Upo mrembo ?
Umekula nini usiku ?
Sawa,unalala saa ngapi ?
Naona unapendeza sana siku hizi.
Si umepita hapa muda si mrefu.