DOh kwaiyo wakate kichwaNarudia...
Cancer siyo Ugonjwa wa kuomba hata adui yako aupate...
Mimi Dada yangu amekatwa hadi ziwa....Bado anaendelea na matibabu wanamcheck tena wanamwambia imehamia kichwani😭😭
Jamiiforums sio kwa ajili ya watu dhaifu.
Relax.
Sema nini mwanamke kutukana hovyo hovyo haijakaa fresh mamilooImagine!!
Jamiiforums ina watu ambao kuna namna tu wanamtafutia mtu ubaya
Na nyie msimpangie vya kujibu.Asitupangie vya kuuliza.
Hapa umeandika ujinga tu huku ukiamini kua utaonekana wewe ni mjanja.Ukitaka kumuona hamnazo, watu wake wa karibu amewaficha tatizo lake halafu anakuja humu JF kutuchambia umbea na likansa lake.
Mhhh dada angu alikufa jwa huo ugonjwa na yy ulihamia kichwani na titi lilikua lishakatwa mweeee poleni sana alikua anapitia maumivu ya kichwa analia kama mtotoNarudia...
Cancer siyo Ugonjwa wa kuomba hata adui yako aupate...
Mimi Dada yangu amekatwa hadi ziwa....Bado anaendelea na matibabu wanamcheck tena wanamwambia imehamia kichwani😭😭
Wamekufa mitume na manabii sembuse wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mbona unaact kama wewe ndo unamiliki kipapa?
Usiniambie kitendo cha mimi kushare nakufa hivi karibuni unaona wivu....wanawake bhana!
ChaiNa nyie msimpangie vya kujibu.
Hapa umeandika ujinga tu huku ukiamini kua utaonekana wewe ni mjanja.
Pole bhana nakuzingua.Unaweza kuamua kuwa humble tu
Sio lazima kila ishu ujipitishe bila sababu ili mradi uonekane ulikuwepo, hizo tabia hazikusaidii kitu
swali gani hili sasa?DOh kwaiyo wakate kichwa
Nakushauri hizi nyuzi wala usiwe unaingia kubishana na mtu,unaweza kujadili kwenye ule uzi wako tu,Unaweza kuamua kuwa humble tu
Sio lazima kila ishu ujipitishe bila sababu ili mradi uonekane ulikuwepo, hizo tabia hazikusaidii kitu
Wanatoa tuzo za mwanajf aliyetrend zaidi kwa wiki.🤣🤣🤣 hebu sasa ona nacheka wodini🫢
Halafu anaifanyia nini hii kiki?? Jf wanatoa njuluku kwa thread ndefu sikuhizi?😀