Maswali kuhusu advance

Maswali kuhusu advance

JURGE WALYOBA

Member
Joined
May 14, 2014
Posts
51
Reaction score
8
wana jf naomben kuuliza kuhuxu advance,nasikiaga kua advance kuna kurogana,pia hua kufundishwa ni mala moja moja ni kweli?
 
Kama unaamini Duniani kuna Kurogana basi akili yako haiko vizuri !

Swala lakufundishwa kwa Nadra be specific shule kama Marian, Feza Usitegemee uwepo wa swala hilo!
 
Back
Top Bottom