J JURGE WALYOBA Member Joined May 14, 2014 Posts 51 Reaction score 8 May 15, 2014 #1 wana jf naomben kuuliza kuhuxu advance,nasikiaga kua advance kuna kurogana,pia hua kufundishwa ni mala moja moja ni kweli?
wana jf naomben kuuliza kuhuxu advance,nasikiaga kua advance kuna kurogana,pia hua kufundishwa ni mala moja moja ni kweli?
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,437 Reaction score 2,043 May 16, 2014 #2 Kama unaamini Duniani kuna Kurogana basi akili yako haiko vizuri ! Swala lakufundishwa kwa Nadra be specific shule kama Marian, Feza Usitegemee uwepo wa swala hilo!
Kama unaamini Duniani kuna Kurogana basi akili yako haiko vizuri ! Swala lakufundishwa kwa Nadra be specific shule kama Marian, Feza Usitegemee uwepo wa swala hilo!