Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
sawa na wewe ufanye hivyoChagua lissu mkuu
Mimi pia niliapply mkuu. Nimesubiri mpaka nimechoka. Naelekea kukata tamaa sasa niendelee na maisha mengineHabari wana JF,
Mimi ni miongoni mwa vijana tunaotuma maombi ya ajira kwenye kampuni za SBL kupitia mfumo wao wa maombi ya ajira. Naomba mnijuze kama mnajua
1. Ni muda gani unaitwa kwenye interview tangu deadline ipite ?
2. Je kuna njia nyingine ya utumaji wa nafasi ya kazi , mfano kupitia postal ?
3. Unanishauri nini ili niitwe kwenye interview ??
KARIBUNI .........
Mimi nilishapataga hapo na niliulizwa maswali haya hapa!
Vipi home mvua sinanyesha?
Vipi mama siku hizi miguu himsumbui?
Ile Chanjo ya ndama iliwasadia?
George ameacha utundu na shuleni anaenda?
shamba langu linaendeleaje?