Shukrani mkuuUshaambiwa kuna corona,inatosha wewe chukua hatua kama ni kuji-lockdown,au kuji-self isolate vyovyote vile ..unataka kusikia watu wengi wameambukizwa ili iweje??? unataka kujua watu wengi wamekufa ili iweje?..wewe si daktari,hiyo ni kazi ya mamlaka!.kitu usichokijua ni kwamba serikali nyingi zimeficha takwimu halisi za athari za virusi hivi vya corona,kuna watu watakufa na wengine watapona,kisha dunia itaendelea kama kawaida,cha msingi jitahidi kujilinda ili uwe mmoja wa watakaoendelea na dunia