Maswali kuhusu sekretariti ya ajira naomba ufafanuzi

mwinukai

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Posts
1,447
Reaction score
630
Hivi ni vigezo gani zaidi ya maswali Sekretarieti wanaangalia katika kumpa mtu maksi ndani ya usaili?

kipi ni kiwango cha kufaulu ndani ya sekretariti na ni kwa alama ngapi? ukiachana na alama za ushindani?

kama umeitwa na sekretariti ya ajira sehemu mbili na ukafanya zote na ukafaulu je sekretariti ya ajira hufanyaje?

Na inakuwaje inafika kipindi wanawaita watu kwenye usaili watu watatu nafasi moja halafu hawawachukui wote na baadaye wanatangaza upya? nini sababu zinazosababisha hili kutokea ?

naomba majibu ya kina ndugu zangu
 
Mmm hawa jamaa kwa uelewa wangu hawatabiriki ni kama mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanaweza kukuambia kuwa kutakuwa na vipindi vya ngurumo na mvua kubwa ukakuta siku hiyo jua linapuliza mapaka ukashangaa
 
Ndugu yangu kama alvosema mjib hoja hapo juu m ntajb kwann wanaita watatu af mnaachwa wote, inawezekana mnakuwa hamjafikia kiwango cha hyo sekta. bt kama ulfanya interview u2juze wanajamv 2nakuombea dua ufanikiwe mkuu
 
Hivi ni vigezo gani zaidi ya maswali Sekretarieti wanaangalia katika kumpa mtu maksi ndani ya usaili?

hakunaga vigezo zaidi ya maswali mkuu!, unaulizwa swali, kadri utakavyojibu ndivyo unavyopata alama

kipi ni kiwango cha kufaulu ndani ya sekretariti na ni kwa alama ngapi? ukiachana na alama za ushindani?

kiwango cha chini yani pass mark ni 50. chini ya hapo hachukuliwi mtu. assume kwenye mtihani wa kwanza kapata 48, basi hapo ngoma INATANGAZWA UPYA!.

kama umeitwa na sekretariti ya ajira sehemu mbili na ukafanya zote na ukafaulu je sekretariti ya ajira hufanyaje?

sina uhakika na hili kama wana database inayoweza kuchuja mtu kama kapata nafasi mbili, hapa nadhani ukipata mara mbili kazi ni wewe mwenyewe utaamua uchukue ipi uache ipi!.

Na inakuwaje inafika kipindi wanawaita watu kwenye usaili watu watatu nafasi moja halafu hawawachukui wote na baadaye wanatangaza upya? nini sababu zinazosababisha hili kutokea ?

hapo inaonyesha eidha wote hawakufika kwenye pass mark kama nilivyoeleza hapo juu au kwa ufupi wanakua hawajakidhi vigezo.
 
Nakushukuru sana GP kwa majibu yako, lakini majibu haya yanapatikana wapi GP, au vyanzo vyako vya information ni wapi? Kama ni 50% Basi nitachomoa . Nakushukuru sana kwa majibu yako ya kina .
 
Yap Shuju ni kweli Jmosi tulikuwa na interview pale Kigamboni za ustate Attorney niliulizwa maswali mengi sana more than 35 questions, ni mengi nilikosa lakini mengi zaidi nilipata so nilikuwa naomba mwongozo. Infact maswali si magumu kama ukipewa peni na karatasi coz utakuwa na mda wa kufikiria. Tatizo swali and then majority wanakuangalia wanataka ujibu so where challenge arise.
 
Nakushukuru sana GP kwa majibu yako, lakini majibu haya yanapatikana wapi GP, au vyanzo vyako vya information ni wapi? Kama ni 50% Basi nitachomoa . Nakushukuru sana kwa majibu yako ya kina .
usihofu vyanzo vya taarifa!, hizi ni taarifa sahihi.
na labda nikueleze kitu kingine muhimu, pass mark ni 50%, lakini inaweza ikatokea watu wamefaulu sana kwa kufungana, hapo pass mark hua inapanda!. na ratio ya kuchuja watu ni 1 kwa tatu. namaanisha kwa mfano nafasi ya kazi ni 4, then wakaaply watu 70, hapo mtaitwa wote 70 kufanya mtihani, lakini watachuja kupata watu 12 tu ili mkafanye oral interview. so wataangalia watu 12 wenye alama nyingi lakini wasivuke 50%.
kuna kuchuja watu kwa aina tofauti, mfano wale wote watakaoenda bila vyeti halisi by default watakua wameondolewa!.
 
stay blessed
 
Ukipata sehemu mbili kwenye usahili wa awamu moja tuseme wa mwezi september, wanakupeleka sehemu uliyofaulu ya kwanza! kwa mfano tarehe 5 na 6 ufanye usail pale Hombolo na ufaulu then tarehe 10 na 11 ufanye usahili wa state attorney na ufaulu vile vile na tarehe 23 na 24 ufanye usahili TIA nako ufaulu pia. basi wanakuchagulia hombolo mana ndo ulipata pa kwanza! wanafanya hivyo kupunguza double allocation na kusaidia wale ambao hawana kazi wapate nao mana wewe unakuwa umeshapata! Nina ushahid wa ili nilisemalo!
 
Stay blessed for ur help, wewe na GP Nadhani wengi tulikuwa hatujui haya,so tumepata watu wakutujulisha vizuri thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…