tembothegreat
Member
- Oct 10, 2018
- 54
- 53
Cha kwanza kabisa nianze na swalam kwa wakubwa zangu (kheshma kwenu) na rika langu habari za sahizi.
Leo ningependa kuwasilisha maswali yangu kwa hiki chama cha wanasheria (TLS) kama mtanzania wa kawaida kabisa ningependa kujibiwa na kila mtanzania hususani wanasheria ambao wapo humu ndani, mf Ndug.PASCAL MAYALLA na wengineo.
Maswali:
1. Structure ya viongozi na utendaj wa kazi wa TLS in general ipo vipi?
2.TLS inaonekana vipi au wapi katika jamii ya watanzania?
3.Je, Raisi wa TLS ndugu F.karume yupo sahii kwa kuongea miatandaoni kuhusu kile anachokiona hakipo sawa kisheria? Mitandaoni ndio sehemu yake ya kazi ama?
4.Nini dhumun la hiki chama hapa nchini?