Uchaguzi 2020 Maswali kwa Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo ndugu Membe

Uchaguzi 2020 Maswali kwa Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo ndugu Membe

Luthertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
206
Reaction score
830
Nimeangalia mkutano wa Membe kule Kusini. Amewaambia wananchi wa Lindi wamuulize Magufuli maswali 4.

1. Wapo wapi watu wetu waliopotea? Yaani wale waliotekwa na hatuwaoni tena.
2. Wamuulize kwanini mikoa ya kusini imesahaulika kwenye miradi ya barabara
3. Kwanini hakuendeleza mradi wa gas
4. Kwanini ameiingilia soko la korosho na ufuta.

Maoni yangu.
-Swali la barabara halina mashiko sababu toka enzi za awamu ya kwanza, mikoa ya kusini ilisahaulika kwenye barabara
-Mradi wa gas hiyo ni mipango ambayo inahitaji muda na watu sahihi
-Membe ni sehemu ya haya matatizo sababu amekuwa mbunge na waziri kwa kipindi kirefu.

Kwa maoni yangu, wananchi wamuulize Magufuli swali la kwanza "wapo wapi watu wetu waliopotea"? Je Tume ya Uchaguzi ilitupa Rais au Israeli?
 
Back
Top Bottom